BurudaniHabariMuziki

Msondo Ngoma Band watangaza album mpya (+Video)

Msondo Ngoma na ujio wa Album mpya mjini, mashabiki watakiwa kukaa mkao wa kula.
Msanii wa Band ya Msondo Ngoma Rajabu Said @rijo_voice amewataka watanzania kukaa mkao wa kula kupokea ujio wa album mpya kutoka kwa wakongwe hao wa muziki Afrika.
@rijo_voice ameyasema hayo wakati wa mahojiano na Bongo5 Media alipokuwa akitambulisha wimbo mpya wa Veronica ambao utapatikana kwenye album hiyo.
@msondo_ngoma_ ni miongoni mwa Band kongwe nchini huku Mkuu wa kitengo cha Teknolojia, Nicolas Clavel akielezea namna wanavyofanya jitihada za kuifanya band hiyo kwendana na wakati uliyopo.
Kuangalia Full Interview Ingia YouTube Bongo5
Imeandikwa na @fumo255

Related Articles

Back to top button