Habari

Muonekano wa daraja jipya la Magufuli lililozinduliwa (+video)

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amezindua daraja la Mto Kilombero ambalo kwa sasa linaitwa daraja la Magufuli, ambapo alieleza kuwa aliombwa jina hilo kuitwa jina lake ingekuwa ni yeye katoa jina asingetaka jina liitwe jina lake kwa kuwa wamekubali liitwe jina lake hana budi kukubali:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents