Habari

Museveni bado yuko ‘imara’, apiga ‘push up’ 40 (+Video)

Rais Yoweri Museveni aamua kutoa mfano wa jinsi mtu anaweza kufanya mazoezi akiwa nyumbani na kubaki salama wakati huu ambako kuna maambukizi ya virusi vya corona.

Video inayomuonyesha Museveni mwenye umri wa miaka 75 akipiga ‘push up’ arobaini huku sauti ya mtoto ikisikika kuhesabu, imeibua gumzo mtandaoni wakidai kuwa Rais huyo bado ana nguvu.

https://www.instagram.com/p/CDgaKcchH1Z/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents