Msanii Climax Bibo ameachia wimbo mpya 'Mjini Karata' akiwa amemshirikisha Deddy. Wimbo umeandaliwa katika studio ya Kiri Record. https://soundcloud.com/mwaija-matata/mjini-karata-climax-bibo-ft-deddy