MUSIC VIDEO: Eze Nice – Tanzania

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Eze Nice anakukaribisha utazame video ya wimbo wake wa Tanzania.

Video na mashairi ya wimbo huu yamejaa uzalendo ambapo ameelezea pia hatua zilizofanywa na serikali ya awamu ya 5 chini ya Rais Magufuli ikiwemo miradi mikubwa ya maendeleo.

Tazama video hapa chini;

Related Articles

Back to top button