Muziki
MUSIC VIDEO: Gidi Kocha Ft. Mazo – Tamu
Msanii anayefanya vizuri kwasasa nchini Kenya, @Gidi_Kocha ameachia video ya wimbo wake mpya wa TAMU, Na anakukatibisha utazame kichupa hicho kwa kubofya link hapa chini.
Kwenye wimbo huu Gidi Kocha amemshirikisha Mazo ambaye pia ndiye producer wa Mdundo huu, Director wa Video hii ni Armyder, Enjoy.