MuzikiVideos

MUSIC VIDEO: Loynizer – WANDOTO

 

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Loynizer amefungua mwaka 2022 kwa kuachia video ya kazi yake mpya inaitwa ‘WANDOTO’ na anakukaribisha utazame kichupa chake.

Video ya ngoma hii imeongozwa na Director @jayshot na producer wa ngoma hii ni @duoz.

Bofya link hapa chini kutazama video;

Related Articles

Back to top button