Habari

MUSIC VIDEO: Wamtei – Camtemakuni

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Wamtei ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘CHAMTEMAKUNI’ na anakukaribisha uitazame video hiyo.

Video na Mdundo wa ngoma hii umetengenezwa katika Studio za Live Africa Media chini ya Kelvin Henry. Bofya link hapa chini kuitazama video hiyo;

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents