Habari

MUSIC VIDEO: Peima Ft. Taba Gain – Promise

Msanii anayekuja kwa kasi kwenye kiwanda cha muziki wa Bongo Fleva, Peima anakukaribisha utazame video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘PROMISE’.

Kwenye wimbo huu kamshirikisha msanii mwenzake ‘Taba Gain’ na Mdundo umegongwa na Producer Mstaarabu na video imeongozwa na Director Ramsay.

Bofya link hapa chini kutazama video hiyo;

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents