Msemaji wa Klabu ya Yanga ametolea ufafanuzi swala la usajili ndani ya timu hiyo inayohusishwa na kiungo wa Asec Mimosas, Stephane Aziz Ki raia wa Burkina Faso.