Burudani

Muziki wa Eminem unaweza kukuongezea nguvu – Utafiti

Muziki wa rapper Eminem unaweza kumuongezea mwanamichezo nguvu ya kufanya vizuri zaidi kwa asilimia 10, utafiti umebaini.

eminem-1-736x414

Ngoma za rapper huyo zikiwemo Lose Yourself na Without Me – zimeonesha kuwa na uwezo wa kumuongezea mtu nguvu na ustahimilivu katika kipindi kirefu cha mazoezi.

Watafiti walitumia miezi minne kufanya utafiti na muogeleaji wa Uingereza, Ben Hooper ili kutengeneza kile walichokiita “soundtrack to success” wakati akijiandaa kuogelea maili 2,000 kwenye bahari ya Atlantic December mwaka huu.

Kwenye utafiti huo, waligundua kuwa nyimbo za Bob Marley zinababisha uchovu.

Richard Collins, mwanasaikolojia wa michezo aliyeongoza utafiti huo alisema: With Ben, listening to Eminem inspires confidence and determination as there is a general theme of triumphing against the odds. Other songs made him think of his daughter and reminded him why he’s doing this historic challenge – to show that ordinary people can achieve.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents