Habari

Mwalimu apata dili baada ya kugundua makosa katika uimbaji wa nyimbo za Taifa (Video)

Mwalimu wa Sekondani ya Mbezi Inn, Alaxander Ngonyani amegundua baadhi ya makosa makumbwa ambayo yanafanywa na baadhi ya watanzania wakati wakuimba nyimbo za Taifa. Mwalimu huyo amesema baada ya kugundua makosa hayo aliwasiliana na Tamisemi na wao wakaona mapungufu hayo ndio walimpompatia dili za kuanza kufanya marekebisho kwa kuwafundisha wanafunzi katika matamasha mbalimbali.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents