Burudani

Mwandishi mahiri wa vitabu na daktari mstaafu Ben Carson atangaza kuwania urais wa Marekani

Mwandishi mahiri wa vitabu na daktari wa upasuaji mstaafu, Ben Carson ametangaza nia ya kuwania urais wa Marekani mwaka 2016.

Republican U.S. presidential candidate and retired neurosurgeon Ben Carson officially launches his bid for the Republican presidential nomination in Detroit, Michigan May 4, 2015. REUTERS/Rebecca Cook

Carson alitangaza nia hiyo kwenye umati jijini Detroit anakoishi.

Mkuu huyo wa zamani wa kitengo cha ‘pediatric neurosurgery’ kwenye hospitali ya Johns Hopkins hajawahi kugombea nafasi yoyote ya uongozi.

Lakini ni mtu maarufu kwa hoja zake na atajaribu kuhamishia mafanikio yake kama mwandishi na mzungumzaji kwenye kampeni za urais zenye ushindani mkali.

“I’m Ben Carson and I’m a candidate for president,” aliuambia umati wa watu.

Ataingia kuwania urais kupitia chama cha Republican.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents