Habari

Mwandishi wa Habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, apotea Kibiti

Mwandishi wa Habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd. inayozalisha magazeti pendwa ya Mwananchi, Mwanaspoti na The Citizen amepotea wilayani Kibiti, mkoani Pwani alikokuwa anafanyia kazi.

Azory Gwanda amepotea siku ya tarehe 21 Novemba mwaka huu, ambapo kwa maelezo kutoka kwa mke wake, Anna Pinoni anadai kuwa alichukuliwa na gari aina ya Land Cruiser nyeupe na kupelekwa kusikojulikana.

Soma taarifa zaidi iliyotolewa na Kampuni hiyo:

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents