Mahojiano

Mwijaku “Diamond ameachana na Tanasha sababu haamini ushirikina, Anataka amfurahishe mama yake kuliko mpenzi wake sio kosa ila anazidisha” – Video

Mwijaku "Diamond ameachana na Tanasha sababu haamini ushirikina, Anataka amfurahishe mama yake kuliko mpenzi wake sio kosa ila anazidisha" - Video

Msanii wa Bongo movie na mtangazaji wa Classic Fm @mwijaku amefunguka na kusema kuwa nilichokisema kimetokea kuwa @diamondplatnumz hawezi kamwe kumuoa @tanashadonna kwa sababu ya mama yake.

Mwijaku ameongeza kuwa “Tatizo sio Diamond tatizo ni mama yake maana Diamond anataka amfurahishe mama yake kuliko mpenzi wake kitu ambacho ni tatizo, Kumfurahisha mama yako sio kitu kibaya ila angalia usizidishe hapo ndio tatizo”

Mwijaku alivyomuwasha Diamond kwa kuchukua Watangazaji wakubwa “Kampa Juma Lokole simu ya Iphone ili aende Wasafi Fm.

By Ally JUma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents