Burudani
Mwijaku: Nitawaanika ma-ex wangu 18 na kueleza kwanini sijawaoa (Video)
Mwanasaikolojia wa mahusiano, Mwijaku amefunguka kwa kusema kwamba siku ya kesho ataanza kuandika list ya ma-ex wake ambao ametokana nao kimapenzi na sababu ya kushindwa kuwaoa.