Bongo Movie

Mzee Chilo: Soko letu limehamia katika Tamthilia (+video)

Muigizaji mkongwe nchini Mzee Chilo abainisha kuwa soko la filamu lipo ila filamu inachukua muda mrefu kuliko Tamthilia na ndiyo maana wamehamia huko, ila bado wanafanya filamu.

Pia Mzee Chilo aliyeanza kupata umaarufu kupitia tamhilia ya Jumba la Dhahabu ameeleza wamehamia huko pia ni suara la bajeti kwani filamu inachukua bajeti kubwa kuliko Tamthilia.

Na Hamza Fumo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents