Leo tumefanya mahojiano na dereva bajaj wa Sumbawanga Mzee Mzee Nyembo ambaye anadai kuwa ni baba wa msanii wa muziki @ommydimpoz .
Mzee huyo ametoa historia kwa ufupi kuhusu familia yake ya watoto 17.