Burudani
Nafungua Media yangu – Babalevo (Video)

Staa wa Muziki wa Bongofleva Babalevoakiwa kwenye mahojiano na Waandishi wa habarib ametangaza rasmi kufungua Media yake Babalevo anasema “kwa sababu ya mwezi wa Ramadhani ndio maana vitu vyangu vimesimama ila tarehe 19 mwezi huu nitaifungua rasmi media yangu tayari nina kila kitu ambacho Alikiba anacho hii ni biashara unaweza kuta hata diamond kwenye media yangu naye yupo”.
Kutazama video nzima bonyeza link hapo chini:
Imeandikwa na Mbanga B.