Burudani

Nahreal: Naingiza mkwanja mwingi kwenye kutengeneza ngoma kuliko kuimba

Producer na member wa kundi la Navy Kenzo, Nahreel, amedai kuwa kazi ya kutayarisha muziki ndio inayomlipa zaidi kuliko kuimba.

11055948_1614244602127316_2056595508_n

Nahreal ameimbia Bongo5 kuwa ingawa pia muziki unaonyesha dalili njema za kuzaa matunda, bado utayarishaji wa muziki ndio unaomwekea ugali mezani.

“Kiukweli toka mwaka jana mambo yanaenda vizuri sana sio kwenye kuproduce tu, hata muziki hali sio mbaya, zinafanya vizuri,” amesema.

“Lakini kwa sasa nikiwa kama producer inanilipa zaidi sio hapa tu hata kimataifa nimepata mwaliko wa kwenda Coke Studio kama producer kwahiyo unaona ni jinsi gani tayari watu wameelewa kazi zangu,”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents