Bongo5 ExclusivesHabariMichezo

Namna mashabiki wa Simba walivyofurika kununua jezi mpya

Siku ya leo klabu ya Simba umetambulisha jezi zake na mashabiki wa klabu hiyo wamekuwa na mwitikio mkubwa juu ya kununua jezi za klabu yao.

Wakiwa wamefurika nje ya duka la Vunja Bei wakiwa kwenye foleni imeonyesha namna gani mashabiki wa klabu hiyo walikuwa wanazisubiria jezi kwa hamu kubwa.

Simba imetambulisha jezi zao leo tarehe 7/8/2022 siku moja kabla ya siku yao kubwa ya Simba day na huenda ndio imechangia mashabiki kufurika wengi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents