Nandy alamba dili nono, atangaza kuboresha Nandy Festival (Video)

Msanii wa muziki Nandy Jumatatu hii ameingia makubaliano na kampuni ya mawasiliano TTCL kwaajili ya kudhamini Tamasha la Nandy Festival ambalo kwa mara ya kwanza lilifanyikia Kigoma na kuonyesha mafanikio makubwa. Muimbaji huyo amesema dili hilo linakwenda kuondeza thamani Tamasha hilo ambalo kwa sasa linakwenda kufanyika mkoni Mwanza.

Related Articles

Back to top button