Burudani

RECAP: Nandy ameleta ubahiri kwenye video, mapungufu yake

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia remix mpya ya Nandy ya DAH.

Remix hiyo ni ya pili kwenye wimbo huo baada ya kufanya na Alikiba ambayo ilifanya vizuri zaidi.

@el_mando_tz anaeleza kuwa video hiyo ambayo Nandy amewashirikisha wasanii 7 wa Hip Hop ina mapungufu ambauo yamechangiwa na ubahili wa Nandy kwenye video.

Msikilize @el_mando_tz mwisho halafu utuambie unakubaliana naye kwa asilimia ngapi??

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Host: @el_mando_tz Cameraman @samirkakaa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents