Burudani

RECAP: Harmonize kama Wizkid, Rayvanny habari nyingine

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezizungumzia kauli zilizotolewa na wakali wa muziki wa Afrika Wizkid kutoka Nigeria na Harmonize kutoka Tanzania.

Alianza Wizkid kwa kusema hataki kuitwa msanii wa AFROBEATS na yeye sio Msanii wa AFROBEATS.

Akaja Harmonize naye akasema yeye sio msanii wa Bongo Fleva bali ni shabiki wa Bongo Fleva.

@el_mando_tz amezichambua kauli hizi na kusema zina maana kubwa sana kimuziki, hii inaonyesha namna gani wasanii hawa wana ndoto za kufika Mbali.

Kauli hizo zinondoa limitation ya maneno kwamba zinawafanya wao waonekane Local Artist wakati wao wanajiona wasanii wa Kimataifa.

Maneno hayo yanawajengea Mentality ya kuwa wasanii wa kimataifa na sio Afrika Tu.

Unakubaliana na @el_mando_tz kwa asilimia ngapi??

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Host: @el_mando_tz Cameraman @samirkakaa

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents