Burudani

Drake ampa Mjamzito Mil.63

Imekuwa desturi ya msanii kutoka Canada, Drake kutoa fedha kwa mashabiki wake kama zawadi sasa amemzawadia shabiki yake ambaye ni mjamzito USD 25000 ambayo ni sawa na Million 63.5 za kitanzania.

Drake alit zawadi hiyo akiwa kwenye show yake baada ya shabiki huyo quinua bango lililokuwa limeandikwa ‘Nina Ujauzito wa miezi mitano unaweza kuwa Baba tajiri wa mtoto wangu’ ndipo msanii huyo akasimamisha show yake kwa muda kumpatia kiasi hicho cha pesa ili aweze kuwa Baby Mama tajiri.

Huu unakuwa ni muendelezo wa Drake kuwawezesha mashabiki wake, ikumbukwe kuwa Machi 3 mwaka huu akiwa kwenye ziara yake ys It’s All a Blur jijini Kansas alimlipia shabiki yake mkopo wa Nyumba kiasi cha USD 160000 ambayo ni sawa na Tsh 408 Million.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents