Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariUmbea
Nandy athibitisha kuwa mjamzito

African Princes ameuthibitishia uma kuwa yeye ni mjamzito tayari.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram @officialnandy akiwa na mchumba wake @billnass ameandika kuwa.
“NAMSHUKURU MUNGU KWA BARAKA HII”
Tayari @officialnandy na @billnass wametangaza harusi yao ambayo itafanyika mwezi huu.
Unahisi Ujauzito wa @officialnandy ni wa miezi mingapi??