Kuputia ukurasa wake wa Instagram staa huyo wa Bongo Fleva African Princes @officialnandy ameandika kuwa.
“NYIE NDOA IKIWA MPYA NDO MAPENZI YANAZIDI HIVI??? JAMAAAANI NIMETEPETAAAAAA @billnass JAMAAAN MUME WANGU PUNGUZA MAPENZI JAMANI UTANIUA❤️”
Chini ya post hiyo amekuja @billnass na kumhakikishi kuwa yupo kwenye mikono salama na kumuomba Mungu awafikishe salama kwenye safari yao ya maisha.#Bongo5Updates