BurudaniUncategorized

Napenda sana kudeka – Lulu Diva

Msanii wa Bongo Fleva, Lulu Diva ameeleza kuwa anapenda sana kudeka hasa kwa mpenzi wake.


Muimbaji huyo ameiambia Choice FM kuwa licha ya yeye kupenda kudeka, hupenda kubembeleza na ndio sababu ya kuandika wimbo ‘Usimwache’.

“Mimi napenda sana kudeka nilikuwa nadeka sana kwa mtu wangu, so nilikuwa nabembeleza mwisho nikachoka kumbe yeye anafanya vile kwa sababu alikuwa na mpenzi mwingine na kesho yake naona kaposti picha ya mwanamke na kaandika caption ‘wife to be’ nikasema basi, hivyo Usimwache ni historia ya kweli,” amesema Lulu Diva.

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents