Habari

Ndege ya Shirika la Ndege Japan yawaka moto ikitua Airpot

Ndege ya shirika la ndege la Japan Airbus A350 imewaka motoWakati ikitua  uwanja wa ndege wa Tokyo wa Haneda leo, Ripoti za vyombo vya habari nchini humo zinasema kuwa mamlaka za uwanja wa ndege zimejaribu kuuzima moto huo, huku wafanyakazi wakiondolewa kutoka kwa ndege hiyo.

Kwa muujiza, vyombo vya habari vinaripoti abiria wote 367 na wafanyakazi 12 wa ndege hiyo walinusurika kwenye ajali hiyo. Kwa kuzingatia ukubwa wa moto, wafanyakazi walifanikiwa uokoaji mzuri sana, umefanywa vizuri kwao!

Link ya video ipo chini hapa.

https://www.instagram.com/reel/C1mHQI1tM3O/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents