Burudani
New Music: Ben Pol f/ Avril & Rossie M – Ningefanyaje
Ben Pol ameachia wimbo wake mpya ‘Ningefanyaje’ aliyomshirikisha muimbaji wa Kenya, Avril pamoja na Rossie M. Wimbo umetayarishwa na Mswaki.
Wakati huo Avril ametua jijini Dar es Salaam kwaajili ya media tour na promotion ya wimbo huo. Chini ni picha zao.