Muziki
New Music: Gosby f/ Ommy Dimpoz – Naogopa
Gosby anaachia ngoma yake mpya ‘Naogopa’ aliyomshirikisha Ommy Dimpoz. Ngoma imetengenezwa na Nahreel akishirikiana na Erasto Mashine huku Marco Chali akifanya mixing na mastering. Isikilize hapa.