Baada ya kuachia single yake Sumu Jumamosi hii kwenye siku yake ya kuzaliwa, August 13, Fid Q ameachia video ya ngoma yake nyingine na mpya pia, Roho. Kwenye wimbo huu wa mapenzi, amemshrikisha Christian Bella huku P-Funk akiwa producer.
Join our mailing list to get the latest news!
Related Articles
Check Also
Close
-
Tanzia: Baba yake mzazi na Belle 9 afariki dunia kwa kugongwa na boda bodaApril 18, 2017 - 10:18 am