Burudani
New Video: Millian f/ Rasheed & Boniface – Until Forever Ends
Muimbaji Millian ameachia rasmi video aliyoi-tease kwa muda mrefu ya wimbo wake ‘Until Forever Ends’ aliowashirikisha Rasheed & Boniface.
Aliyekuwa mwakilishi wa Big Brother Africa 2014, Samantha ndiye amecheza kama mpenzi wa Millian. Video hii imeongozwa na Raqey wa I-View, imeshutiwa na Enos Olik aliyesafiri kutoka Kenya kuja Dar kufanya kazi hiyo, na kuhaririwa na Adam Juma wa Visual Lab/Next Level.