Rapper kutoka Nigeria Phyno ameachia video ya wimbo wake uliotoka mwaka 2014 “Oringo” Video imeongozwa na Clarence Peters. http://youtu.be/KZXLYtL0Rvw