Ngoma mpya ya Harmonize na rekodi mpya Youtube, ndani ya dakika 44 yapata zaidi ya viewers laki moja (+ Audio)

Ngoma mpya @harmonize_tz #Attitude yaweka rekodi mpya. Ngoma hiyo ambayo imeachiwa masaa matano yaliyopita mpaka muda huu ina viewers zaidi ya laki mbili (262k)

Ngoam hiyo imeweka rekodi ya kufikisha viewers laki moja ndani ya dakika 44 tu.

Sio hilo tu bali ndani ya masaa mawili imefanikiwa kuweka rekodi ya viewers zaidi ya laki mbili kitu ambacho ni kigumu sana wasanii wengi kufikisha viewers hao.

Tutegemee makubwa kwenye hii ngoma kwani mpaka masaa 24 yapite inaweza kuweka rekodi mpya YouTube.

Ngoma hii ya @harmonize_tz amewashirikisha msanii kutoka Congo DR @awilolongomba x mkali wa masebene kutoka Tanzania @h.baba_

Put some respect for KONDEBOY @harmonize_tz 🔥🔥🔥🔥

Kama unataka kuitazama zaidi link ipo kwenye bio ya Instagram ya @harmonize_tz au YouTube ya @harmonize_tz

Related Articles

Back to top button