Habari

VIDEO: Kimbunga ‘JOBO’ kupiga DAR Jumapili, upepo ni kilomita 60 kwa saa, wananchi wapewa tahadhari

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetaja Mikoa itakayo athiriwa na kimbunga Jobo.


“Kimbunga kitatua jijini Dar Es Salaam tarehe 25, wakati kimbunga kinatua kitakuwa na upepo wa kilomita 60 kwa saa,”- Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk Agness Kijazi

“Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari kwa sababu athari ya kimbunga upepo wa kilometa 60 kwa saa kwa wenye boti zilizopo baharini wachukue tahadhari pia hata watu wanaokaa kwenye majengo ambayo hayastahimili wanatakiwa waondoke wakapange sehemu iliyo salama.” Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk Agness Kijazi

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents