Burudani

Ni kweli Tunda wa Young Dee ni mama kijacho?

Video vixen ambaye alihusishwa katika sakata la matumizi ya dawa za kulevya Tunda, huwenda akawa anatuonyesha kuwa ni mama kijacho kama tetesi zinavyozidi kusambaa mitandaoni.

Kupitia mtandao wa Instagram, mrembo huyo ameweka picha ya Utrasound ikionyesha kuwa anatarajia kupata mtoto. “?,” Tunda ameweka kimdoli hiko kwenye picha hiyo.

Hata hivyo mrembo huyo amekuwa akikanusha mara kadhaa taarifa hizo na hadi sasa tangu alipoweka picha hiyo hajaongea chochote.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents