Habari

Ni zoezi, sio ajali ya kweli

Kaimu Meneja wa Kiwanja cha Ndege Mwanza, Seneth Lyatuu amesema ajali ya ndege katika Ziwa Victoria iliyotokea leo, ni sehemu ya utekelezaji wa zoezi la utayari kulingana na matakwa ya kisheria yanayowahitaji kufanya hivyo kila baada ya miaka miwili.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents