Burudani

Nicki Minaj afukuzwa hotelini London

nicki

Young Money princess Nicki Minaj ameikuta akipewa kibuti katika hoteli aliyoifikia ya Dorchester mjini London Uingereza kufuatia usumbufu ulioonyeshwa na mashabiki wake kiasi cha kuwasumbua wageni wengine hotelini hapo.

 

Vurugu hizo zilianza Rapper huyo alipofika airport ya Heathrow ambapo alikuta mamia ya mashabiki wakisubiri kumlaki. Inasemekana ilikuwa kosa la mwanadada huyo mwenyewe kwani alitoa taarifa za kuwasili kupitia mtandao wa Twitter.

Minaj alisikika akiwashukuru fans kwa support lakini pia kuwasihi mafans kupunguza vurugu ili asijejikuta kakosa hoteli London nzima.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents