MichezoVideos

Nitaongeza Mke wa tatu bila kujali mitandao (+Video)

Baada ya kuoa mke wa pili wiki iliyopita Haji Manara amesema kuwa ikitokea nafasi ya kuongeza wa tatu ataongeza kadiri Mungu atakavyomjaalia

”Nampenda Mke wangu wa kwanza kama ninavyompenda Mke wangu wa Pili, sheria inaniruhusu. Ikitokea nafasi nyingine kwa mujibu wa dini yangu na kama nitakuwa na uwezo wa kuwahudumia ki-biolojia na kifedha nitaongeza Mke mwingine.” – Manara

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents