Michezo
Niyonzima: Mchezo mkubwa unachezwa na wachezaji wakubwa (+VIDEO)
Niyonzima “Mchezo ambao unahitaji utulivu kwa wachezaji ili mtu ifanye vizuri, mchezo mkubwa unachezwa na wachezaji wakubwa ila sisi tumejiandaa vizuri. Mashabiki waje kwa wingi sisi tumejiandaa vizuri presha hatuna imebaki kwa mashabiki.”