Michezo
Nabi: Simba naifahamu, mechi itakuwa ngumu (+VIDEO)
“Tumejianda vizuri na mchezo wa kesho na tunajua hautakuwa mchezo rahisi kwetu lakini sisi tumeanda kikosi chetu vizuri na tupo tayari kwa mchezo wa kesho” Kocha Mkuu Mohamed Nasreddine Nabi