Burudani

Nje ya muziki mimi ni mfanyabiashara – Dogo Janja

Dogo Janja anafanya muziki, lakini kutokana na biashara ya muziki kuwa haina uhakika wa lini msanii ataingiza kiasi gani kama ilivyo kwa wafanyakazi wenye uhakika wa mshahara kila mwisho wa mwezi, anacho kitu kingine ambacho anakifanya kumuongezea kipato.

Dogo Janja

Janjaro ambaye anafanya kazi chini ya Madee na Tip Top Connection, amesema kuwa anafanya biashara ndogo ndogo ambazo zinampa uhakika wa kuingiza angalau shilingi elfu 10 kwa siku.

“Kitu nachoweza kusema mishe nje ya muziki ni mfanya biashara tu, nina nyenzo kadhaa zinazoweza kuniingizia elfu 10 elfu kwa siku” alisema Janjaro kupitia E-Newz ya East Africa TV.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents