Burudani

Nonini na Chege wanakuja na filamu yao ya pamoja

Nonini na Chege hawarekodi wimbo wa pamoja peke yake, bali pia watakuja na filamu yao.

df
Nonini akiwa studio na Chege

Akizungumza na Bongo5 leo akiwa nchini Kenya, Nonini amesema kwa sasa wapo kwenye hatua za mwisho za kurekodi.

“Tumefanya maproject mengi sasa hivi tupo kwenye studio za RKay, anaitwaga Robert Kamanzima Mwana Buja,” amesema. “Tumeshafanya project nyingi mpaka sasa hivi, tunaendelea kurekondi ngoma nyingi kwa sababu sisi chemistry watu wanaijua. So mashabiki nataka waone kazi nyingi, video na audio,” ameongeza.

“Halafu pia kuna ile movie tulifanya tunataka kuikamilisha, ila tunataka kushoot tena ili tuifanye series ambayo kila wiki itakuwa inatoka. Ndo sasa hivi tunaendelea kushoot bado pole pole. Cha msingi sasa hivi mashabiki wasubirie, wajue nini kinaendelea kutoka kwetu.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents