Burudani

Nusu Fainali ya Vimwana yang’ara

Kimwana_FaceKatika kinyanyiro cha kumtafuta Manywele kimwana wa twanga, jana ilikuwa nusu fainali katika washiriki 19, na kubaki washiriki kumi ambao wataingia katika kinyanyiro hicho cha kumpata mshindi wa tamasha hilo kwa mwaka wa 2011.

 

Kimwana_Asha_baraka
Mmilikiwa bendi y  ASET Entartaiment  yenye bendi ya Twanga Pepeta, akishuhudia jinsi mchakato unavyokwenda
Kimwana_Dotnata
Mamaa Dotnata akiangalia vizuri Vimwana
Kimwana_mgongo
Ikifika zamu ya mgongomgongo, na hawa ndiyo washiriki ambao mshindi atapatiwa duka la vipodozi lenye gharama zaidi ya milioni,  maeneo ya Kinondoni Studio

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents