Burudani

Off Side Trick walileta Dege kwenye video

Kimwana_lil_ghettoKundi la muziki wa bongo Fleva toka Zanzxibar linalopiga mziki wa miondoko ya Kizazibar maarufu kama mduara, hivi karibuni linatarajia kuachia video ya wimbo wao mpya unaojulikana kama Midege ambayo pia imebeba jina la albamu yao.

 

Wakiongea katika tamasha la Manyele Vimwana wa Twang, walisema albamu hiyo itajaa nyimbo kali ikiwemo Bata, Samaki na nyingine nyingi ambazo zilishika watu na kufanya viuzuri.

Kimwana_bata
Pia wasanii hao waliweza kutoa burudani katika viwanja vya Club SunCiro, katika tamasha la nusu fainali la Manywele vimwana wa Twanga.
Kimwana_Batta_na_Lilian_Internet
Hapa Lilian Internat toka Bongo Dar es salaam katika bendi ya twanga, akichuana na Mzenji, katika kumtafuta bata wa kweli katika tamasha la Manywele.
Kimwana_tmk

Wacheza Show wa Tmk, wakionyesha uqwezo wao.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents