Siku ya leo @el_mando_tz amekuletea mahojiano yake na kijana anaye-trend mitandaoni anayejulikana kwa jina na @nyandakabundi_
Wameongea mambo mengi sana ikiwemo maisha yake ya zamani kabla ya kujulikana na maisha ya sasa.
Mbali na hilo wamezungumza kuhusu maisha ya @nyandakabundi_ ambapo ana umri wa miaka 23.
Ameongeza kuwa Umri wake huo lakini tayari ana mke na watoto wawili.Mchekeshaji huyo wa Mitandaoni @nyandakabundi_ akipiga stori na @el_mando_tz ameeleza kuipanda ngoma ya @officialalikiba ya MAHABA mpaka kuifanyia REMIX.
Mbali na hilo ameeleza moja ya wasanii wa kike anaowapenda ni @officialnandy na anasikilizwa sana Kijijini kwao.
@nyandakabundi_ ni mchekeshaji aliyetoka Geita hivyo baada ya kufika Dar Es Salaam amegoma kula Pweza na pia ameshindwa kunywa maji ya Dafu.
Wakiongea na @el_mando_tz wamezungimza mengi ikiwemp yeye kusajiliwa @basata.tanzania kama mchekeshaji rasmi.