BurudaniHabari

RECAP: Marioo ndio msanii bora wa mwaka??

Kupitia kwenye kipindi chake pendwa cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amemzungumzia staa wa Bongo Fleva @marioo_tz na kusema kuwa ni miongoni mwa wasanii bora wa mwaka 2023.

Mbali na hilo ameongeza kuwa @marioo_tz ndio msanii aliyekuja kuwaaminisha wasanii wengi wachanga kuwa unaweza kufanya vizuri bila kusainiwa kwenye lebo yoyote.

Mbali na hilo @el_mando_tz ameichambua video ya wimbo wake SHISHA.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents