Burudani

Nyimbo zinazosikilizwa mtandaoni pekee sasa ruksa kushindanishwa kwenye tuzo za Grammy

Nyimbo zinazosikilizwa (streaming) mtandani pekee sasa zitaanza kushindanishwa kwenye tuzo za Grammy.

image

Kwa sheria hiyo mpya, nyimbo ambazo zinawekwa kwenye huduma kama Apple Music, Spotify, na Tidal sasa zitaingiazwa kwenye mchakato kwa mara ya kwanza katika historia ya tuzo hizo kubwa za Marekani.

Hiyo ni pamoja na album ya hivi karibuni ya Chance the Rapper, Coloring Book, iliyowekwa kwenye Apple Music na kuwa album ya kwanza kuuzwa mtandaoni pekee (first streaming-exclusive album) kuingia kwenye chati za Billboard 200.

Tuzo zijazo zitatolewa Feb. 12, 2017.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents