Habari

Obama ampigia simu Trump kumpongeza, amwalika White House

Rais wa Marekani Barack Obama amempigia simu Rais mteule, Donald Trump kumpongeza kwa ushindi uchaguzi wa urais ambapo pia amemwalika ikulu ya White House mnamo Alhamisi wajadiliane kuhusu shughuli ya mpito.
obama_sotu_2016_ap_img

Obama pia amempigia Hillary Clinton na kumpongeza kutokana na alivyofanya kampeni.

Rais Obama atatoa taarifa zaidi Jumatano kutoka White House kujadili matokeo ya uchaguzi na hatua ambazo tunaweza kuchukua kama taifa kuungana tena pamoja baada ya kipindi cha uchaguzi huu uliokuwa na ushindani mkali”, katibu wa ikulu amesema kupitia taarifa.

Taarifa kamili hii hapa:

eb7f8b66-16c4-428d-8335-71c496ba10f3

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents